Kufuatia taarifa na picha nyingi kuzambaa zikieleza kutokea kwa ajali ambayo inadaiwa imetokea eneo la Msata, Pwani ikihusisha basi la kampuni ya Ngorika na lingine la Ratco kugongana uso kwa uso. Polisi mkoa wa Pwani, Bonaventure Mushongi akiongea na Millard Ayo ameeleza haya..

 

Lionel Messi afungwa jela miezi 21 kwa ufisadi
Ripoti: Mahakama ya Ufisadi kuanza na Lowassa