Habari Maisha Picha Siasa Zetu Balozi Mbarouk nje ya Mkutano LDCs Qatar 2 years ago Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk akiagana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa India, Vallamvelly Muraleedharan, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika kando ya Mkutano wa Tano wa Umoja wa Mataifa wa Nchi Zinazoendelea (LDCs) unaendelea Doha nchini Qatar. Mafanikio: Siku 730 zaingiza zaidi ya Bilioni 60 Muleba Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk akizungumza na Msaidizi wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayeshughulikia Uhusiano wa Jumuiya za Kimataifa, Michelle Sison. Mazungumzo hayo yamefanyika kando ya Mkutano wa Tano wa Umoja wa Mataifa wa Nchi zinazoendelea (LDCs) unaendelea Doha nchini Qatar. Makala: Siri ya Mwanamke kujikomboa Mazungumzo hayo yamefanyika kando ya Mkutano wa Tano wa Umoja wa Mataifa wa Nchi zinazoendelea (LDCs) unaendelea Doha nchiniQatar. Serikali yakemea wizi wa mazao na mifugo mwezi mtukufu Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk katika akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa India, Vallamvelly Muraleedharan na ujumbe wake. Rais Dkt. Samia ashiriki Kongamano la BAWACHA Milton Karisa anaitaka Ligi ya Bongo Historia imeandikwa: Rais Samia ndani ya Kongamano BAWACHA Tagsfeatured