Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk akiagana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa India, Vallamvelly Muraleedharan, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika kando ya Mkutano wa Tano wa Umoja wa Mataifa wa Nchi Zinazoendelea (LDCs) unaendelea Doha nchini Qatar.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk akizungumza na Msaidizi wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayeshughulikia Uhusiano wa Jumuiya za Kimataifa, Michelle Sison. Mazungumzo hayo yamefanyika kando ya Mkutano wa Tano wa Umoja wa Mataifa wa Nchi zinazoendelea (LDCs) unaendelea Doha nchini Qatar.
Mazungumzo hayo yamefanyika kando ya Mkutano wa Tano wa Umoja wa Mataifa wa Nchi zinazoendelea (LDCs) unaendelea Doha nchini
Qatar.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk katika akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa India, Vallamvelly Muraleedharan na ujumbe wake.

Milton Karisa anaitaka Ligi ya Bongo
Historia imeandikwa: Rais Samia ndani ya Kongamano BAWACHA