Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa anatoka katika Msikiti Mkuu wa BAKWATA (Mfalme Mohamed VI wa Morocco) uliopo Kinondoni Jijini Dar es Salaam mara baada ya kuswali Sala ya Eid El-Fitri Aprili 22, 2023.

Zaidi ya 400 wauawa Sudan, idadi majeruhi inatisha
Wanane mikononi mwa Polisi kwa matukio uhalifu wa Silaha