Habari Magazeti Habari kubwa kwenye magazeti leo, Juni 17, 2021 4 years ago Karibu usome habari zilizopewa nafasi kwenye kurasa za mbele na kurasa za nyuma za magazeti ya Tanzania, leo Juni 17, 2021. Usikose pia kuangalia magazeti yakisomwa kupitia YouTube ya Dar24 Media muda mfupi ujao. RC Shigella awapiga marufuku mgambo kuwabughudhi wafanyabishara Amuua mkewe kwa kisu na kujilipua kwa petroli baada ya wazazi kumkataa mkewe