Habari Magazeti Habari kubwa kwenye magazeti leo, Juni 21, 2021 4 years ago Karibu usome habari zilizopewa nafasi kwenye kurasa za mbele na kurasa za nyuma za magazeti ya Tanzania, leo Juni 21, 2021. Usikose pia kuangalia magazeti yakisomwa kupitia YouTube ya Dar24 Media muda mfupi ujao. Masheikh wa Uamsho wapimwa, aliyewahudumia gerezani asimulia Waziri amsimamisha kazi mhandisi stendi ya Mwenge