Habari Magazeti Habari kubwa kwenye magazeti leo, Mei 27, 2021 4 years ago Karibu usome habari zilizopewa nafasi kwenye kurasa za mbele na kurasa za nyuma za magazeti ya Tanzania, leo Mei 27, 2021. Usikose pia kuangalia magazeti yakisomwa kupitia YouTube ya Dar24 Media muda mfupi ujao. Ridhiwani: Kikwete ni mzima wa afya RC Makalla aagiza malipo fidia ya Mto Ng'ombe yaharakishwe