Magazeti Habari kubwa kwenye magazeti leo, Septemba 11, 2020 4 years ago Karibu usome habari zilizopewa nafasi kwenye kurasa za mbele na kurasa za nyuma za magazeti ya Tanzania, leo Septemba 11, 2020. Usikose pia kuangalia magazeti yakisomwa kupitia YouTube ya Dar24 Media muda mfupi ujao. Wanafunzi zaidi ya 90,000 waomba mikopo Hakuna Mtanzania aliyeuawa Msumbiji - RC Mtwara