Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akimkabidhi Hati ya Makabidhiano ya zawadi ya Ndege aina
ya Tausi 25 kwa Mama Maria Nyerere mjane wa Baba wa
Taifa Mwalimu Julius Nyerere kwa ajili ya kuwafuga katika
Makazi yake, hafla hiyo fupi ilifanyika katika viwanja vya
Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma.

Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi hati ya
Makabidhiano ya ndege aina ya Tausi 25 kwa Rais Mstaafu
wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi kwa ajili ya
kuwafuga katika makazi yake

Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi hati ya
Makabidhiano ya ndege aina ya Tausi 25 kwa Rais Mstaafu
wa awamu ya Tatu Benjamin Mkapa kwa ajili ya kuwafuga
katika makazi yake.

Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi hati ya
Makabidhiano ya ndege aina ya Tausi 25 kwa Rais Mstaafu
wa awamu ya nne Jakaya Kikwete kwa ajili ya kuwafuga
katika makazi yake.

Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika pichaya pamoja na Viongozi hao Wakuu wastaafu mara baada ya
kuwakabidhi zawadi ya ndege aina ya Tausi.

Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na
Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi
pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya
Kikwete mara baada ya hafla fupi ya Makabidhiano ya ndege
aina ya Tausi katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.
PICHA NA IKULU