Vyombo vya usalama vimesema idadi ya Wapalestina waliouawa katika mashambulizi ya anga ya Israel, yaliyotekelezwa katika ukanda wa Gaza imeongezeka hadi kufikia watu 198.

Kundi la Jihad la Kiislamu (Islamic Jihad), ambalo linaendesha harakati zake huko Gaza, linadai kutekeleza shambulio hilo na kusema wapiganaji wake pia wamewakamata wanajeshi wengi wa Israeli.

Islamic Jihad ni mojawapo ya makundi kadhaa ya wapiganaji wanaoendesha harakati zao huko Gaza na Brigedi ya Quds ni tawi lake la silaha huku likishirikiana na wapiganaji wengine wa kundi la Hamas.

Aidha, kundi hilo pia linafanya kazi katika Ukingo wa Magharibi na limefanya mashambulizi kadhaa dhidi ya Waisraeli ambayo inasema inajipanga kufanya mashambilizi ya kisasi.

Uketetaji: Washiriki 900 Afrika kukutana Dar es Salaam
Habari Kuu kwenye magazeti ya leo Oktoba 8, 2023