LIVE CHATO: Rais Magufuli akimpokea rais wa Uganda, Yoweri Museveni
6 years agoComments Off on LIVE CHATO: Rais Magufuli akimpokea rais wa Uganda, Yoweri Museveni
Fuatilia hapa matangazo ya moja kwa moja kutoka wilayani Chato mkoa wa Geita, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli akimpokea rais wa Uganda, Yoweri Museveni ambaye anakuja nchini kwa ziara binafsi ya siku moja.