LIVE DODOMA: Kikao cha Waziri wa Ardhi na wakuu wa Taasisi/Mashirika na makampuni yanayodaiwa kodi ya pango
6 years agoComments Off on LIVE DODOMA: Kikao cha Waziri wa Ardhi na wakuu wa Taasisi/Mashirika na makampuni yanayodaiwa kodi ya pango
Fuatilia hapa matangazo ya moja kwa moja kutoka jijini Dodoma, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi akizungumza na wakuu wa Mashirika na Makampuni yanayodaiwa pango.