Fuatilia hapa matangazo ya moja kwa moja, Rais dkt. John Magufuli akiongelea hali ya maambukizi ya virusi vya covid 19 nchini Tanzania akiwa Chato mkoani Geita.

JPM: Barakoa zikaguliwe, tusije tukaambukizwa corona na 'mask' kutoka nje
Wagonjwa wa corona wafika 284 Tanzania, maambuki ni chini ya makadirio ya WHO