Fuatilia hapa matangazo ya moja kwa moja, Makamu wa rais, Samia Suluhu akifungua mkutano wa mawaziri na wadau wa sekta ya kazi na ajira kutoka nchi za SADC, unaofanyika Tanzania katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano, Mwalimu Nyerere, leo Machi 5, 2020.

Italia yafunga shule na vyuo kujikinga na Corona, facebook yafunga ofisi
Dkt Ndumbaro akutana na Maseneta kutoka Ufaransa