LIVE MWANZA: Rais Magufuli katika uzinduzi wa huduma za tiba hospitali ya Rufaa Bugando
6 years agoComments Off on LIVE MWANZA: Rais Magufuli katika uzinduzi wa huduma za tiba hospitali ya Rufaa Bugando
Fuatilia hapa matangazo ya moja kwa moja, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akizindua huduma za tiba katika hospitali ya rufaa Bugando, Mwanza.