LIVE: Rais Dkt. Magufuli akiwa ziarani Uganda leo, Novemba 9, 2017
7 years agoComments Off on LIVE: Rais Dkt. Magufuli akiwa ziarani Uganda leo, Novemba 9, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli leo yuko ziarani nchini Uganda, akihutubia mkutano nchini humo katika hafla ya uzinduzi wa bomba la mafuta.