LIVE: Rais Magufuli akiweka jiwe la msingi ujenzi wa mradi wa uzalishaji umeme mto Rufiji
6 years agoComments Off on LIVE: Rais Magufuli akiweka jiwe la msingi ujenzi wa mradi wa uzalishaji umeme mto Rufiji
Fuatilia hapa moja kwa moja kutoka Rufiji, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiweka jiwe la msingi ujenzi wa mradi wa uzalishaji umeme mto Rufiji.