Wakazi wa kijiji cha Shirikisho kilichopo eneo la Chara Kaunti ndogo ya Tana Delta, wamezimika kuyahama makazi yao kufuatia Mto Tana kuvunja kingo zake na maji kuingia Kijijini humo.

Inaarifiwa kuwa, tayari Mashua nne ambazo hutumika kwa shughuli za uvuvi na ulinzi wa misitu ya eneo hilo, kwasasa zinatumika kusafirisha wananchi na mali zao, kuwapeleka maeneo salama.

Ajali ya Hiace yauwa wanne Kagera
Mbegu bora ya Maharage: Wadau wakutana Babati