Habari Siasa Zetu Majaliwa aridhishwa ujenzi wa Ikulu Chamwino 3 years ago Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, leo Juni 09, 2022 amekagua maendeleo ya ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, mkoani Dodoma. Katika ukaguzi huo amesema ameridhishwa na viwango na hatua zilizofikiwa za ujenzi. Rais Samia atembelea kiwanda cha Sukari Kagera Simba SC yapangua hoja ya Chama kuvunja mkataba Tagsfeatured