Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza Sekiete Selemani.

Kwa mujibu wa taafira iliyotolewa kwa vyombo vya Habari na Mkurugenzi wa Mawasiliamo ya Rais, Ikulu Zuhura Yunus imesema utenguzi wa Mkurugenzi huyo umefanyika kuanziaAprili 16, 2023.

Robertinho afunguka kilichoimaliza Young Africans
Ally Salim afichuwa siri ya mafanikio