Mahakama Kuu ya Tanzania imemhukumu kwenda jela miaka miwili msanii wa maigizo wa Bongo Movie, Elizabeth Michael maarufu wa jina la ‘Lulu’ aliyekuwa akikabiliwa na tuhuma za kuua bila kukusudia.

Aidha, Lulu alikuwa akikabiliwa na tuhuma za kuua bila kumuua msanii mwenzie Steven Kanumba, bila kukusudi hivyo Mahakama imeamuru akatumikie kifungo cha miaka miwili

Bodi ya mikopo yatoa orodha mpya, wanufaika mkopo elimu ya juu
Tyrese awaangukia mashabiki, ajuta kumwaga chozi hadharani