Mwandishi wa fasihi kutoka Tanzania Abdulrazak Gurnah ameshinda tuzo ya Nobel 2021 katika upande wa Fasihi.
Mwandishi huyo amepewa tuzo hiyo kutokana na kazi yake ya athari za Ukoloni na hatma ya mkimbizi yenye thamani ya dola milioni 1.14
Gurnal alizaliwa visiwani Zanzibar inchini Tanzania 1948 na kwasasa anaishi nchini Uingereza tangu mwishoni mwa mwaka 1960.
Tuzo hiyo imetolewa na taasisi ya uswizi ya Nobel.