Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Godfrey Kasekenya (wa kwanza), akikagua ujenzi wa daraja dogo la Mvugwe, katika barabara ya Kabingo, Kasulu hadi Manyovu (KM 260) mkoani Kigoma, kipande cha Mvugwe hadi Nduta (KM 59.35), kinachojengwa na Kampuni ya STECOL Corporation kwa kiwango cha lami.
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya, akimuelekeza jambo Mhandisi Mkazi Tadesse Dirba (Wakwanza kulia), wakati akikagua  mradi wa ujenzi wa barabara ya Kabingo- Kasulu hadi Manyovu, kipande cha Kanyani hadi Mvugwe (KM 70.5),  kinachojengwa na Kampuni ya Sinohydro Corporation Limited kwa kiwango cha lami .
Mhandisi Mkazi Khatibu Khamis, akimuelezea jambo Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya (wa tatu kushoto), wakati akikagua ujenzi wa barabara ya Kabingo, Kasulu hadi Manyovu (KM 260) mkoani Kigoma, kipande cha Mvugwe hadi Nduta (KM 59.35), kinachojengwa na Kampuni ya STECOL Corporation kwa kiwango cha lami.
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Godfrey Kasekenya, akimuelekeza jambo Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS) mkoa wa Kigoma, Mhandisi Narcis Choma, wakati akikagua  mradi wa ujenzi wa barabara ya Kabingo, Kasulu hadi Manyovu, kipande cha Kanyani hadi Mvugwe (KM 70.5),  kinachojengwa na Kampuni ya Sinohydro Corporation Limited kwa kiwango cha lami.
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Godfrey Kasekenya, akimuelekeza jambo Mhandisi Mkazi Khatibu Khamis (wa pili kushoto), wakati akikagua ujenzi wa barabara ya Kabingo, Kasulu hadi Manyovu (KM 260) mkoani Kigoma, kipande cha Mvugwe hadi Nduta (KM 59.35), kinachojengwa na Kampuni ya STECOL Corporation kwa kiwango cha lami.

Kassim Majaliwa atoa siku 7 kwa kamati ya uchunguzi kariakoo
Wakandarasi wahimizwa kumaliza miradi kwa wakati