Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) limetangaza Kuwa Ligi ya Tanzania Bara inashika nafasi ya 5 kwenye orodha ya Ligi Bora Barani Afrika huku nafasi ya 39 duniani kwa mwaka 2022.

Ligi Kuu Tanzania Bara imepanda kwa nafasi 23 kutoka nafasi ya 62 (2021) hadi nafasi ya 39 (2022) duniani huku kwa Afrika ikishika nafasi ya 5 na kusalia kuwa Ligi pekee kwenye 10 Bora ya Afrika kwa ukanda wa Afrika Mashariki na Kati.

Bil. 3.2 zatolewa kwa Wajasiriamali Nishati safi ya kupikia
Raphael Varane aiacha Ufaransa, awaita vijana