Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amefungua rasmi Jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika – PAPU Tower, lenye gorofa 17.

Uzinduzi huo, umefanyika katika hafla iliyofanyika Philips Jijini Arusha, hii leo Septemba 2, 2023 na kuhudhuriwa na Viongozi mbalimbali akiwemo Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye.

Zifuatazo ni baadhi ya picha za matukio na kumbukumbu wakati wa ufunguzi huo.

Mashirika ya umma yawauzie hisa Wananchi – Rais Samia

Wito: PAPU ianzishe mfumo anuani za makazi - Rais Samia
Habari Kuu kwenye magazeti ya leo Septemba 3, 2023