Picha: Mwili wa Shaban Dede wazikwa jijini Dar es salaam
8 years agoComments Off on Picha: Mwili wa Shaban Dede wazikwa jijini Dar es salaam
Mwili wa nguli wa Muziki wa Dansi Tanzania aliyekuwa akiitumikia Bendi ya Msondo Ngoma, Shaban Dede, amepumnzishwa katika makazi yake ya milele leo Julai 7, 2017, ambapo mamia ya watu waliusindika mwili huo katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam kwa ajili ya maziko.