Kikosi cha Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans kimeanza safari ya kurejea nyumbani Dar es salaam-Tanzania, kikitokea Bamako-Mali.

Young Africans jana Jumapili (Februari 26) ilicheza dhidi ya AS Real Bamako katika mchezo wa Mzunguuko watatu wa Kombe la Shirikisho BArani Afrika na kuambulia sare ya 1-1.

Mbegu mpya ya Mchikichi yaonesha mafanikio
Uchaguzi Nigeria: Tinubu aongoza matokeo ya awali