Rapa Quick Rocker ameweka wazi uhusiano wake na Nyota wa kike wa Bongo Movie, Kajalla Masanja.

Quick Racker ambaye amekuwa akikwepa kutaja kinachoendelea kwenye maisha ya wawili hao huku akimulikwa na kamera kwenye baadhi filamu ya Bongo Movie zinazomhusisha Kajalla, amekiri kuwa wawili hao ni wachumba.

Hata hivyo, rapa huyo ameiambia Amplifaya ya Clouds Fm kuwa angependa maisha yao yaendelee kuwa faragha ingawa wawili hao ni nyota wenye mashabiki wengi.

Kajalla na Quick

Ruge: Hakutakuwa na Fiesta Mwaka Huu, Tumsapoti Magufuli
Wagombea Urais Uganda watumia jina la Magufuli kujinadi