Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa ametangaza siku nne za maombolezo kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa zamani wa mwisho mzungu FW de Klerk aliyefariki dunia leo Novemba 11, 2021 nyumbani kwake Fresnaye Cape Town akiwa na umri wa miaka 85..
Maombolezo ya kitaifa yanaanza Jumatano jioni hadi Jumapili jioni na “bendera ya taifa itapeperushwa nusu mlingoti kama ishara ya heshima.
De Klerk alifariki Alhamisi wiki iliyopita akiwa na miaka 85 baada ya kupatikana na saratini mapema mwaka huu
Mwili utchomwa siku ya Jumapili katika mazishi ya faragha itakayohudhuriwa na na jamaa zake pekee.