Polisi nchini Uganda wamefanikiwa kuzima shambulio la mlipuko wa tatu lililokua limepangwa kutekelezwa na magaidi.

Rais wa Uganda Yoweri Museven amesema hayo ambapo kundi la kiislam la IS limetaja kuhusika na mashambulio yote mawili yaliyotokea jana na kuua watu 6 ikiwa wengine zaidi ya 30 wamejeruhiwa.

Milipuko mingine ilitokea mwezi Oktoba na kundi hilo la IS lilikiri kuhusika ambapo halijataja sababu za kufanya mashambulio hayo.

Rais Ramaphosa atangaza siku 4 za maombolezo
Harmonize arudi kwa kishindo kwenye mahusiamo ya kimapenzi