Rais Samia aongoza wananchi kuaga mwili wa Hayati Ole Nasha
3 years ago
Katika hatua nyingine Serikali imesema kifo cha Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji, William Ole Nasha kimetokea baada ya kupata shinikizo la damu.
Katibu mkuu Wizara ya Uwekezaji Profesa Godius Kahyarara amesema ugonjwa huo alikuwa nao tangu mwaka 2014.