Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limetangaza ratiba ya kwanza ya michuano ya vilabu barani Afrika kwa msimu wa 2021-22.
Michuano hiyo itaanza rasmi kwa hatua ya awali mnamo Septemba 10, 2021.
Droo ya nani atakutana na nani katika raundi za awali itafanyika mnamo 15 Agosti 2021.