Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limetangaza ratiba ya kwanza ya michuano ya vilabu barani Afrika kwa msimu wa 2021-22.

Michuano hiyo itaanza rasmi kwa hatua ya awali mnamo Septemba 10, 2021.

Droo ya nani atakutana na nani katika raundi za awali itafanyika mnamo 15 Agosti 2021.

Panga kali lapita Azam FC
Serikali yatoa Bilioni 9.2 kwa ajili ujenzi wa wodi ya wazazi - META