Wakala ya Barabara Tanzania (TANROAD), Mkoa wa Dar es Salaam umetangaza kulifunga daraja la Tanzanite kwa muda wa wiki moja kuanzia siku ya Jumatatu Januari 2, 2023.
TANROAD imetaja sababu za kulifunga daraja hilo kuwa ni kwaajili ya kusema nembo ya Tanzanite na kwamba linatarajia kufunguliwa Januari 9, 2023.