Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu nchini Kenya Mhe.Mwai Kibaki amefariki Dunia Leo Aprili 22, 2022 akiwa na umri wa miaka 90.
Taarifa hiyo imetolewa na Rais wa Kenya, Uhuru Kenyata ametoa taarifa hiyo leo Ijumaa.
Kibaki alikuwa Rais wa tatu wa nchi hiyo kutoka mwaka 2002 hadi 2013.
Kenyatta amesema kuwa Kibaki amefariki Alhamisi usiku Aprili 21, 2022