Ikiwa unatafuta njia ya kuzuia magonjwa ya moyo na shida zinazohusiana , umefika mahali pazuri .
Niko hapa kukuambia jinsi unaweza kuwa na afya bora ! ni vizuri ukawa na akiba ya vyakula hivi bora na muhimum kwako ikiwa unataka kuishi maisha bora na marefu.
Utapata kujivunia virutubisho anuwai ambavyo vina kinga ya kuongeza nguvu na afya ya moyo . Juu ya hayo ,inawezekana kupata vitu hivi kwa njia ya rahisi kwa hiyo hakuna haja ya kuwa na wasiwasi juu ya hilo .
Kulingana na utafiti ,unaweza kuzuia maradhi ya moyo kwa kukaa mbali na chakula taka na badala yake kula tumia kwa wingi vyakula vya kwenye mtiririko huu.
- Machungwa
wacha tuanze na kitu ambacho kila mtu huko nje ankipenda endelea kutumia machungwa na wala usiogope , ni njia nzuri ya kuondoa shinikizo la damu na kupunguzi protini hatari . kula machungwa ni njia nzuri ya kuondoa kiu chako , na kupata virutubisho , vitamini C na potassium ambazo zote ulinda mwili dhidi ya sodium na kunyonya cholesterol katika mwili na eneo la moyo .
2. Vitunguu saumu
Vitunguu saumu vimepata nafasi yake japo si watu wengi wanaofahamu uwezo wake wa kuongeza uimara katika moyo . mara nyingi vitunguu saumu uwekwa katika chakula kitamu kama pilau na hutumika kuongeza ladha nzuri na pia ni zuri kwa moyo wako .
vitunguu saumu vinasaidia kupunguza shunikizo la damu na hata kuzuia msongamano kwenye mishipa ya damu unaweza .ukawa hupendi harufu yake jaribu kula kama tembe ya kidonge kisha kunywa maji .
3. Mvinyo mwekundu
Nani angewahi kufikiria kuwa matibabu haya mazuri yangekuwa kwenye orodha ? Haina haja ya kukata pombe , unajua .ikiwa unatumia kiasi kidogo cha divai nyekundu ,moyo wako utakuwa katika hali nzuri unaweza kuiongeza kwenye utaratibu wako kunywa glasi ya divai ili kuuipa urahisi njia ya wa damu kwa kufanya mishipa ya damu iwe wazi.
Mbali na hayo divai nyekundu pia itaboresha viwango vya HDL na kukufanya uwe na kiwango cha chini kupata ugonjwa wa moyo .
4. Chokoleti
Ikiwa unatambulika kama mpenda chokoleti basi tambua uko katika matibabu .chokoleti hufanyi kazi kama sululisho tamu kwani utafiti uliofanywa na chuo kikuu cha Havard umebaini kuwa watu ambao hutumia chokoleti nyeusi kwa matumizi ya kawaida husaidia kukinga moyo kupata shinikizo la chini la damu.
5. Maharagwe na jamii ya mikunde
Zinaweza kuongeza ladha nyingi wakati unapata mlo wako ,lakini kunde pia inafaida nyingi za kiafya .utafiti umeonyesha kwamba lishe iliyo na jamii ya mikunde zinasaidia mtu kutokuwa na hatari ya kupata viharusi na magonjwa ya moyo . mboga hizi zina potassium ,protini na magnesiamu ambazo ni nzuri katika kupunguza kiwango cha cholesterol ,kupunguza shinikizo la damu .
6. Mbegu za chia
Ni kawaida sana katika mapishi ya laini na matunda . chakula hiki kiafya utoa nyuzi nyingi ,antioxidants virutubisho na mafuta ya omega-3. mbali na ukweli kwamba haini kalori nyigi ,chakula hiki hudumisha pia afya ya moyo wako.