Video: Ajali ya MV Nyerere mbunge alitabiri, Ni huzuni kubwa
6 years agoComments Off on Video: Ajali ya MV Nyerere mbunge alitabiri, Ni huzuni kubwa
Ajali ya MV Nyerere mbunge alitabiri, JPM, Lowassa watuma salamu, Nzowa na Kova wafikishana pabaya, Mbowe na Mkurugenzi wa NEC ‘Patachimbika’, Nyama yatumika kushonea wanaofanyiwa operesheni. Bofya hapa kutazama habari zilizopewa uzito katika kurasa za mbele za magazeti ya leo Septemba 22, 2018.