Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dodoma linamshikilia Mwanasheria mkuu wa Chadema na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu baada ya kumkamata leo asubuhi March 16, 2017.
Akizungumzia hilo, Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Chadema, Tumaini Makene amedhibitisha kukamatwa kwa Lissu ambapo pia amezungumzia sababu ya kukamatwa kwake. Bofya hapa kusikiliza