Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(BAVICHA) limesema kuwa kiongozi pekee anaeweza kulinusuru Taifa lisiingie katika matatizo na kuleta usawa, umoja na mshikamano ni Mh. Rais Magufuli.

BAVICHA wamesema inawezekana kuna mambo yanatendwa kinyume na sheria na wasaidizi wake bila yeye  kujua au kutoshirikishwa kwa hofu ya kutumbuliwa, hivyo BAVICHA wamesema wameamua kumsaidia Rais Magufuli kwa kusema ukweli. Hayo yamesemwa leo Agosti 22, 2016 na Mwenyekiti BAVICHA Taifa, Patrobass Katambi. Bofya hapa kufahamu zaidi walichozungumza BAVICHA

Nape;Jengeni Ofisi Ndani Ya Uwanja Wa Uhuru Kuepuka Gharama
Video: Vijana CCM kuandamana nchi nzima Agosti 31