Gari kampuni ya Cocacola lenye nambari ya usajili T 695 ALL limepata ajali mbaya baada ya kuhama njia na kuvamia daladala lenye nambari ya usajili T 865 DLR iliyokuwa inatokea Buguruni .
Ajali hiyo imetokea leo majira ya asubuhi lakini kwa taarifa zilizopata chombo hiki cha habari hakuna aliyefariki dunia na majeruhi wachache.
Sikiliza hapa baadhi ya mashihidi wakielezea namna ajali hiyo ilivyotokea.