Ikiwa ni siku chache tu baada ya kuachia wimbo unaoitwa ‘Pusha’, msanii wa muziki wa Bongo fleva Aslay  ameachia video ya wimbo wake mpya unaoitwa ‘Natamba’

Aslay amekuwa na mfurulizo wa kutoa nyimbo kali mwaka huu tangu aache kufanya kazi na kundi la Yamoto Band na anaonekana kufanya vizuri sana wakati huu akiwa anatamba kweli.

Video ya wimbo huo imetengenezwa na mtayarishaji wa video Hanscana itazame hapa chini;

 

Majaliwa awapa neno wanafunzi wa kike nchini
Pogba marufuku kucheza mpira wa kikapu