Video: Jua halinichoshi, Naamka alfajiri | Mama anayezungusha mboga Mtaani kwenye beseni
6 years agoComments Off on Video: Jua halinichoshi, Naamka alfajiri | Mama anayezungusha mboga Mtaani kwenye beseni
Wiki hii kwenye msakatonge, kutana na mwanamke ambaye anaendesha maisha yake kwa kuuza mboga kwenye mitaa mbalimbali ya Jiji la Dodoma, kilasiku anaamka alfajiri na mchana anavumilia jua lote.
Bofya hapa kutazama na kujua nini siri yake ya kutokata tamaa na alianzaje kazi hiyo bila mtaji.