
Mwanamuzi mkongwe wa muziki wa taarab Khadija Kopa ameweka wazi kuja na mfululizo wa nyimbo ( Extended Play EP ) ambapo anatarajia kuaanda tamasha maalumu kwaajili ya maadhimisho ya miaka 30 tangu kuingia kwenye tasnia ya muziki huo…Bofya hapa kuatazama zaidi.