Makonda ajibu hoja elimu yake, afichua siri vita dhidi yake, JPM amshupalia mbunge wa CUF, Ubunge wa Salma Kikwete gumzo, wasomi, wanasiasa wahoji uteuzi wake…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Machi 3, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Wilfried Bony: Ninajuta Kukataa Kwenda China
Magufuli: Serikali haitatoa msaada wa chakula