Kamishna wa jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, Simon Sirro amesema Operesheni ya kuwasaka watuhumiwa wa biashara za kulevya inaendelea na wengi wameshakamatwa hadi sasa wapo mahabusu.

Sirro amesema katika Operesheni hiyo inayoendelea jeshi la Polisi litalazimika kuwakamata wenyeviti wa mitaa wote ambao mitaa yao itaonekena biashara hiyo haramu inafanyika pamoja na uharifu huku wakiwa wamekaa kimya bila kutoa taarifa.

Mnyika Ang'aka kuhusu malipo ya wananchi Mloganzila
Wakuu wa shule na wakurugenzi wawekwa kitimoto Dar