Baraza la Wazee wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wametoa wito kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakimtaka aonane na viongozi wa dini nchini ili kuendeleza utamaduni mzuri wa kuwapa viongozi wa dini kutumia karama zao kwa mstakabari wa Taifa.

Wazee hao wa Chadema wametoa tamko hilo jana walipokutana na waandhishi wa habari ambapo wamemuomba Rais Magufuli pamoja na watumishi wengine wa Serikali kutopuuza juhudi zinazofanywa na viongozi hao wa dini. Tazama hapa video

Crystal Palace Wamnasa Mathieu Flamini
Mambo ya kuzingatia katika kupiga hatua kimaisha