Jeshi la zimamoto na uokoaji nchini, limetoa taarifa kwa vyombo vya Habari kuelezea namna lilivyopambana na matukio mbalimbali kwa kipindi cha Januari hadi Desemba, 2022 na kusema lilikabiliana na matukio 1858 yaliyosababisha vifo vya watu 32 na majeruhi 66.

Kwa mujibu wa taarifa ya Jeshi hilo iliyotolewa hii Leo Januari 3, 2023 na Kamishna Jenerazi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji imeeleza kuwa uokoaji ulifanyika katika maeneo 567 ya migodi, mashimo ya vyoo, mafuriko, mito, ajali za barabarani, mabwawa na Bahari kama inavyofafanua hapo chini.

Sakata la kuvunja mkataba, Feisal Salum aitwa TFF
Viongozi vyama vya Siasa watinga Ikulu