Mwenyekiti wa kamati ya Mashindano ya Kahawa Cup Mkoani Kagera, Respicius John amewata Vijana kutambua furusa za kiuchumi kupitia zao la Kahawa.

John ameyasema hayo mwishoni mwa wiki na kuongeza kuwa za hilo kwasasa limefanikiwa Kuibua vipaji vya Vijana ambao hapo awali hawakuwa na utambuzi wa kazi zao na jinsi za hilo hilo lilivi na faida.

Mwenyekiti wa kamati ya Mashindano ya Kahawa Cup Mkoani Kagera, Respicius John.

Awali, alikutana na Viongozi wa timu zilizo tinga katika hatua ya nusu fainali kutoka Wilaya tatu za Mkoa huo, ambapo amesema michuano hiyo imeshirikisha timu 24 na kwa sasa zimesalia timu 12.

Katika mashindano hayo, kila timu inatarajia kupewa seti ya jezi na gharama za usafiri vyote vikiwa na thamani ya shilingi milioni tano.

Watendaji saba MSD wameondolewa kazini - Ummy
Bukoba: RUWASA yapania kuondoa tatizo la maji Vijijini