Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo DEsemba 05, 2023 amewajulia hali majeruhi wa maafa ya mafuriko yaliyosababisha maporomoko huko Katesh Wilayani Hanang’ Mkoani Manyara.

Majeruhi hao wanapatiwa matibabu bure na Serikali katika hospitali ya rufaa ya Mkoa wa manyara, kufuatia agozi la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Erling Halaand hatarini kuadhibiwa England
Kocha Mtibwa Sugar afichua siri nzito