Waziri Mkuu Majaliwa akutana na Waziri Mkuu wa Qatar
3 years ago
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu wa Qatar, Sheikh Khalid bin Khalifa bin Abdulaziz Al kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu huyo iliyopo DohaWaziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu wa Qatar, Sheikh Khalid bin Khalifa bin Abdulaziz Al kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu huyo iliyopo Doha, Machi 22, 2022. Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Qatar, Dkt Mahadhi Juma MaalimWaziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu wa Qatar, Sheikh Khalid bin Khalifa bin Abdulaziz Al kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu huyo iliyopo Doha,